Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(mbele katika Jukwaa)
akipokea Saalam ya heshima na Utii kutoka kwa Gadi Maalum ya Gwaride
lililoandaliwa na Wahitimu 72 wa Mafunzo Maalum ya Udereva katika Chuo
cha Magereza cha Ufundi na Udereva Kingolwira, kilichopo Mkoani
Morogoro. Hafla fupi ya ufungaji Mafunzo hayo imefanyika leo Novemba 1,
2013 katika viwanja vya Kingolwira, Morogoro.
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja (kulia) akikagua Gadi Maalum ya Gwaride lililoandaliwa Maalum kwa ajili ya Ufungaji Mafunzo ya Udereva Kozi No. 19 ya Mwaka 2013 ambayo yamefanyika leo Novemba 1, 2013 katika Chuo cha Magereza cha Ufundi na Udereva Kingolwira, Mkoani Morogoro. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akikagua moja ya Gari aina Bedford ambalo hutumika kufundishia Madereva Wanafunzi katika Chuo cha Magereza cha Ufundi na Udereva kilichopo Kingolwira, Mkoani Morogoro. Mafunzo Maalum ya Udereva yamefungwa rasmi leo Novemba 1, 2013 na Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Casmir Minja akimkabidhi cheti mmoja wa Wahitimu wa Kozi ya Udereva, Cpl. Nuru kutoka Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Dar es Salaam. Cpl. Nuru ni minongoni mwa askari 11 wa Kike ambao wamehitimu mafunzo Maalum ya Udereva leo Novemba 1, 2013 na Mafunzo hayo yamefanyika kwa muda wa Mwezi mmoja katika Chuo cha Ufundi na Udereva Kingolwira, Mkoani Morogoro ambapo jumla ya Askari 72 wamehitimu Mafunzo hao kwa ustadi mkubwa.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(aliyesimama) akitoa
hotuba fupi ya ufungaji Mafunzo Maalum ya Udereva leo Novemba 1, 2013
katika Chuo cha Magereza cha Ufundi na Udereva Kingolwira, Mkoani
Morogoro.Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja (kulia) akikagua Gadi Maalum ya Gwaride lililoandaliwa Maalum kwa ajili ya Ufungaji Mafunzo ya Udereva Kozi No. 19 ya Mwaka 2013 ambayo yamefanyika leo Novemba 1, 2013 katika Chuo cha Magereza cha Ufundi na Udereva Kingolwira, Mkoani Morogoro. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akikagua moja ya Gari aina Bedford ambalo hutumika kufundishia Madereva Wanafunzi katika Chuo cha Magereza cha Ufundi na Udereva kilichopo Kingolwira, Mkoani Morogoro. Mafunzo Maalum ya Udereva yamefungwa rasmi leo Novemba 1, 2013 na Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Casmir Minja akimkabidhi cheti mmoja wa Wahitimu wa Kozi ya Udereva, Cpl. Nuru kutoka Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Dar es Salaam. Cpl. Nuru ni minongoni mwa askari 11 wa Kike ambao wamehitimu mafunzo Maalum ya Udereva leo Novemba 1, 2013 na Mafunzo hayo yamefanyika kwa muda wa Mwezi mmoja katika Chuo cha Ufundi na Udereva Kingolwira, Mkoani Morogoro ambapo jumla ya Askari 72 wamehitimu Mafunzo hao kwa ustadi mkubwa.
Baadhi
ya Askari wa Jeshi la Magereza ambao wamehitimu Mafunzo Maaalum ya
Udereva katika Chuo cha Magereza cha Ufundi na Udereva Kingolwira,
kilichopo Mkoani Morogoro wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi. Mafunzo
hayo Maalum ya Udereva yamefungwa rasmi leo Novemba 1, 2013 na Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani).
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(katikati walioketi)
akiwa katika picha ya pamoja na Askari wa Kike Wahitimu wa Mafunzo
Maalum ya Udereva(waliosimama) mara baada ya hafla fupi ya ufungaji
Mafunzo Maalum ya Udereva yaliyofanyika Chuo cha Udereva Kingolwira,
Mkoani Morogoro leo Novemba 1, 2013( wa nne toka kulia) ni Kamishna wa
Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa( wa nne toka kushoto)
ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Morogoro, Naibu Kamishna wa Magereza, James
Selestine(wa pili toka kushoto) ni Asha Said, Afisa Tarafa Mikese,
Morogoro(wa tatu toka kushoto) ni Diwani wa Kata Mkambalani, Morogoro
Kamishna Msaidizi wa Magereza Mstaafu, Daniel Shawa. Wengine walioketi
ni Bwana Fedha Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi
wa Magereza, Gideon Nkana(wa pili kulia) na wa tatu kulia ni Mkuu wa
Chuo cha Ufundi na Udereva Kingolwira, Kamishna Msaidizi wa Magereza,
Osmund Nduguru(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Post a Comment