Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA MSAFARA NA MWAKILISHI WA SULTAN WA OMAN, SAID ASAAD BIN TARIQ AL SAID, NCHINI KUWAIT


1-1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said,  wakati walipokutana faragha jana Nov 19, 2013,  nchini Kuwait katika mkutano wa tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait. Picha na OMR 2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said,  baada ya mazungumzo ya faragha walipokutana jana Nov 19, 2013, katika mkutano wa tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait. Picha na OMR
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top