April
23 Asasi ya Twaweza kupitia ukumbi wa Makumbusho wa Taifa walikua na
uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa maoni kuhusu namna Watanzania
wanavyoona uwakilishi wao katika bunge maalum la katiba,miongoni mwa
watu waliopata nafasi ya kuongea ni pamoja na Jaji Mzee Joseph Sinde
Warioba.
Miongoni
mwa vitu alivyovizungumzia Jaji Warioba ni kuhusu kuingizwa siasa na
Dini na kuomba kutochanganywa kwa vitu hivyo huku akipinga kauli za
baadhi ya wajumbe wa Bunge kuingilia baadhi ya watumishi wa serikali
kama Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi,zitumie dakika hizi
kumsikiliza Jaji Warioba.
Bonyeza play kusikiliza.
Post a Comment