
Saa tatu na nusu usiku wa April 23 2014 imepokea taarifa kutoka kwa ripota wake nchini humo Julius Kipkoitch kwamba bomu jingine limelipuka ndani ya gari karibu na kituo cha Polisi Nairobi.
Waziri wa mambo ya ndani amethibitisha kwa kusema Polisi wawili wamepoteza maisha kati ya watu wanne ambao wameuwawa huku hao wengine wawili wakihofiwa kuwa ni Mahabusu waliokuwemo kwenye gari hilo na Polisi.
Post a Comment