Basi
la Am coach limepata ajali eneo la ipuli na kusababisha kifo cha
mwanafunzi mmoja,chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa basi
hilo,abiria wengine wamenusurika isipokuwa wapo ambao wamepata mshtuko
mkubwa.Endelea kuwa nasi taarifa kamili inakujia. PICHA NA TABORA YETU BLOG
Post a Comment