Wakazi
wa eneo la Mafiati Mkoani Mbeya wakishuhudia ajali iliyotokea katika
eno hilo muda mfupi uliopita na kuhusisha magari madogo mawili moja
likiwa ni Mazda yenye namba za usajili T935 BJP na gari nyingine Toyota
Gaia ambayo namba zake hazikupatikana kwa haraka
Gari
yenye namba za usajili T 935 BJP ikiwa imeharibika vibaya mara baada ya
kugongana na gari nyingine ndogo aina ya Toyota Gaia (haipo pichani)
katika eneo la Mafiati Mkoani Mbeya. Katika ajali hiyo hakuna
aliyepoteza maisha.
Wakazi
wa Mafiati Mbeya wakilitazama gari aina ya Mazda yenye namba za usajili
T935 BJP jinsi ilivyoharibika mara baada ya kupata ajali kwa kugongana
na gari ndogo aina ya Toyota Gaia muda mfupi uliopita katika Eneo la
Mafiati Mkoani Mbeya, Nyuma ni gari aina ya Toyota gaia iliyogongana na
Gari hiyo aina ya Mazda.
Wakazi
wa Mafiati wakilitazama Gari aina ya Toyota Gaia ambazo namba zake
hazikuweza kupatika kwa haraka mara baada ya kugongana na gari aina ya
Mazda katika Eneo la Mafiati Mkoani Mbeya muda mfupi uliopita.
Gari
aina ya Toyota Gaia ikiwa imeharibika pembeni kama inavyoonekana katika
picha. Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog - Mbeya
Post a Comment