Hawa
Ladha meneja miradi Serengeti breweries, Bw Evans Mlelwa meneja
mawasiliano serengeti breweries na Bw Joseph Mkirikiti Mkuu wa Wilaya
Songea wakizindua miradi ya maji Songea iliyogharimu zaidi ya millioni
140 hivi karibuni.

Mh Charles Magama Meya wa Manispaa ya Songea, Mh Joseph Mkirikiti Mkuu wa Wilaya Songea Bw. Evans Mlelwa Meneja mawasiliano Serengeti Breweries na Hawa Ladha Meneja miradi Serengeti Breweries wakizindua miradi ya maji Tanga na Mletele iliyogharimu zaidi ya milioni 140 hivi karibuni
………………………………………………………………………
Kampuni
ya Serengetti Breweries inatambua umuhimu wa maji kwa binadamu na pia
mchango wa maji katika maendeleo ya nchi, kiuchumi na kijamii.
Tutahakikisha tunaendelea kuwekeza katika miradi ya maji kwa ajili ya
jamii inayotuzunguka ili kuongeza ari ya uwajibikaji kwa maendeleo ya
taifa letu na kwa ustawi wa kila mmoja wetu”,ameongeza Bw. Mlelwa.
“Kampuni
ya Bia ya Serengeti na EABL Foundation mpaka sasa imeshawekeza zaidi ya
milioni 500 za kitanzania , katika maeneo mbalimbali ambapo zaidi ya
watu 450,000 wanafaidika na miradi hiyo”.

Post a Comment