Sehemu
ya njia ya reli katika eneo la Ming’ongo ikiwa inaning’inia baada ya
tutakusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha
katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
ya Reli Tanzania (TRL), Kipalo Amani Kisamfu pamoja na wakurugenzi
kutoka Wizara ya Uchukuzi wametembelea eneo hilo leo mchana kuona athari
kubwa iliyotokea kwenye njia ya reli. Aidha, katika njia hiyo kilomita
kumi na nane za njia ya reli zimeaharibiwa na mvua hizo zinazoendelea
kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania.Mkurugenzi
Msaidizi wa Sehemu ya Reli, Wizara ya Uchukuzi, Bw. Festo Mwanjika (wa
pili kutoka kulia) akiangalia uharibifu mkubwa uliotokea kwenye njia ya
reli katika eneo la Ming’ong’o kilomita 4 kutoka Stesheni ya Ruvu,
alipotembelea eneo hilo kujionea moja kati ya sehemu kumi na nane
zilizoharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.(Picha na Kitengo
cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Uchukuzi)
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
Duniani Leo2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment