Katika mchezo
wa Simba na Yanga Leo Ambao wametoka droo kwa kufungana moja kwa moja
palitokea kituko ambacho kimewaacha wengi huo...Kama Kawaida yake Ivo
Mapunda akiwa langoni Huwa anakuwa na Taulo kubwa Jeupe la kujifutia
Jasho Ambalo hulininginiza Kwenye Nyavu za Goli ..Leo Mchezaji Didie
Baada ya Yanga kukosa Goli langoni Hapo aliamua kulichukua Taulo hilo na
Kukimbia Nalo na kulitupa kwa Mashabiki .
..Kwa kile kinachodaiwa ni Dumba inayozuia Yanga Wasifunge....Ilibidi
mchezo usimame kwa muda baada ya kuanza kushikana mashati kuhusu hilo
taulo, Mwishowe Taulo lilirudi kwa Ivo Mapunda na Mchezo Kuendelea....


Post a Comment