Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Shirika la Simu la China Bwana Yang Jie ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bw. Yang na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete ikulu na kufanya naye mazungumzo yaliyohusu uboreshwaji wa miundo mbinu ya mawasiliano nchini |
Loading...
Post a Comment