Mbunge
wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi wa Kijiji
cha Isupilo Kata ya Lumuli alipowatembelea jana kutoa shukurani kwa
kumchagua na kujua changamoto walizo nazo katika kazi za maendeleo
pamoja na kuwaunga mkono kwa kuwapa baadhi ya vifaa vya ujenzi.
Godfray Mgimwa akimkabidhi Edward Mbwilo mabati 50 katika Kijiji cha Isupilo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati.
Godfrey
Mgimwa akimkabidhi Nahodha wa timu ya Isupilo FC James Mwano mipira
mitano yenye thamani ya Tsh 225,000/= kwa ajili ya vijana watimu ya
mpira wa miguu kijijini hapo. (Picha na Mnyalu)
Post a Comment