Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la kujenga ushirikiano katika sulala la kuwalinda wanyama pori nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha
aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la
kujenga ushirikiano katika sulala la kuwalinda wanyama. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimshukuru Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha kwa
kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Waziri Chikawe na
mgeni wake walijadili masuala mbalimbali ya kujenga ushirikiano wa
kuwalinda wanyama. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Post a Comment