Jokate
aliwahi kukiri kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond
kwa muda usiozidi miezi miwili ambapo wakati yuko na Diamond zilitoka
stori nyingi pia kuhusu uhusiano wa Wema na Jokate kuingia matatizoni.
Ni stori ambazo ziliandikwa sana na inawezekana mpaka leo watu
wengine walikua wanaamini Jokate na Wema hawawezi kukaa meza moja ila
Aug 9 2014 Wema Sepetu baada ya kuwasili Mwanza kwa ajili ya show ya
Serengeti Fiesta 2014 baadae CCM Kirumba amepost hii picha.
Wakiwa
kwenye ndege ya Fastjet Wema na Jokate wakitokea Dar es salaam walipiga
selfie ambayo Wema ameipost kwenye instagram page yake na kuandika hayo
maneno hapo chini akimaanisha wako poa sasa hivi.
Post a Comment