Mama
Maria Nyerere akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wana kikundi
cha (NEW MELLENIUM WOMEN GROUP) ambao ni wake wa viongozi kushoto ni Mke
wa Waziri wa Utalii na Maliasili Faraja Kota kulia ni Mke wa Waziri wa
Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa Mariam Mwinyi walifika nyumbani kwake
Msasani kumtembelea nakumjulia hali kutokana na mchango wake mkubwa
ambao aliutoa katika kumsaidia Baba wa taifa Mwalimu Juliasi Nyerere
kuwaongoza Watanzania nakudumisha amani na upendo kwa makabila yote ya
Tanzania.Mama
Maria Nyerere akifurahia jambo na Mariam Mwinyi ambaye ni Mke wa Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mariam walifika Msasani na wenzake
wake wa viongozi kumjlulia hali Mama Maria Nyerere.Picha na Chris
Mfinanga. Chanzo Michuzi Blog
Loading...
Home » Unlabelled » MAMA MARIA NYERERE AWAOMBA WAKE WA VIONGOZI KUENDELEA KUIOMBEA NCHI IENDELEE KUWA NA AMANI NA MAENDELEO
Post a Comment