Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Picha ya jengo la ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi ‘’CCM’’ Lumumba, Jijini Dar.
Na Gabriel Ng’osha/ GPL
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ‘’CCM’’ Taifa
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema anakerwa na lawama pamoja na
lugha za dharau na kejeli za baadhi ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba kupitia midahalo waliyoifanya dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
pamoja na mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.
Post a Comment