Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam,
imewapindisha kizimbani watu wanne wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi
Ofisa Usalama wa Taifa, Sylvanus Mzeru maeneo ya Uwanja wa Ndege wa
Mwalimu Julius Nyerere, Aprili 29, mwaka huu usiku.
Watuhumiwa hao ni Mohamed Othuman, Lucy Wiston,Omary Said , Kelvin
Peter ambao walisomewa shitaka lao na wakili wa Serikali, Seina
Kapenge.Kesi hiyo imeahirishwa hadi Agosti 20, mwaka huu
itakaposikilizwa tena katika mahakama hiyo.
Mtuhumiwa Mohamed Othuman anayedaiwa kuwa ni afisa usalama akiwa amelala chini baada ya kushindwa kukaa.
Mtuhuhiwa Lucy Wiston akiwa kwenye ulinzi mkali
Post a Comment