Watu
walioishi katika ndoa kwa miaka 62 wamekufa pamoja nchini Marekani. Don
na Maxine Simpson, kutoka Bakersfield, California walipishana kwa saa
chache tu kufa, katika vitanda vilivyowekwa karibu, huku wakishikana
mikono katika saa zao za mwisho duniani.
Melissa
Sloan, ambaye ni mjukuu, amesema bibi yake alitangulia kufa, na mwili
wake ulipoondolewa chumbani, babu yake naye akafuata.
"Kitu pekee alichokitaka Don ni kuwa na mke wake mpenzi. Alimpenda sana bibi yangu, mpaka mwisho”SOMA ZAIDI>>
Post a Comment