Balozi
wa Rwanda nchini Eugene S. Kayihura akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM
Makao Makuu Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es salaam.
Balozi
wa Rwanda nchini Eugene S. Kayihura akisaini kitabu cha wageni kwenye
ofisi za CCM Ofisi Ndogo Lumumba ambapo alikuwa na maongezi na Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Eugene S. Kayihura .Balozi
wa Rwanda nchini Tanzania amekutana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana kwenye Ofisi Ndogo za CCM Lumumba akiongozana na
Msaidizi wa Balozi Ndugu Ernest Bugingo.





Post a Comment