NYUMBA ya
familia, inayokaliwa na bibi Siajabu Adam Ali wa kijiji cha Minazini
shehia ya Tibirinzi wilaya ya Chake chake Pemba, ambayo ilidaiwa kutimwa
moto na mdogo wake, Zahara Hamza Adam kutokana na ugomvi wao wa muda
mrefu, nyumba hiyo iliteketea kila kitu.
SEHEMU ya
ndani ya nyumba ya familia, inayokaliwa na bibi Siajabu Adam Ali na
watoto wake wawili, kijiji cha Minazini shehia ya Tibirinzi wilaya ya
Chake chake Pemba, ambayo ilidaiwa kutimwa moto na mdogo wake Zahara
Hamza Adam, kutokana na ugomvi wao wa muda mrefu, nyumba hiyo iliteketea
kila kitu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya
vitu vilivokuwemo ndani ya nyumba anayoishi Siajabu Adam Ali, ikiwa ni
pamoja na magodoro, mabegi mawili ya nguo, vitanda, baiskeli na vyombo
vya matumizi ya ndani, vikiwa vimeteketea, baada ya nyumba hiyo kudaiwa
kutiwa moto na mmoja wa familia wa nyumba hiyo, Zahara Hamza Adam kwa
ugomvi wa kiamilia na sasa anashilikiwa Polisi, (picha na Haji Nassor, Pemba).
SIAJABU Adam
Ali akizungumza na waandishi wa habaria juu ya mkasa wa nyumba ya
familia anayoishi, baada ya kutiwa moto na mdogo wake Zahara Hamaza
Adam, usiku wa kuamkia juzi, kutokana na hitilafu zao za kifamilia, na
kuiteketeza yote na hakukuwa na mtu aliejieruhiwa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Post a Comment