Mwanaume aliyefuunga ndoa na nyoka
Watu zaidi ya 15,000 wamekusanyika kushuhudia ndoa ya mtu na nyoka kwenye kijiji cha Badwapur jimboni Uttar nchini india.Sandeep
Patel mwenye umri wa miaka 27 amedai kuwa wakati wa usiku mwanamke huyo
ugeuka kuwa nyoka lakini mchana anaonekana kama mwanamke mrembo kwahiyo
hawezi kumuacha maana waliahidiana kufunga ndoa siku ya pasaka.
Pia inasemekana kuwa wakati Sandeep akiwa mdogo alikuwa anachezesha ulimi wake na kutembea kama nyoka.
Polisi
jimboni Uttar baada ya kupata taarifa hizo walivunja harusi hiyo na
kuwatia mbaroni watu wawili ambao ni baba wa Sandeep na bwana harusi
mwenye
Lakini
hili limekuwa siyo tukio la kwanza kutokea nchini humo maana miaka tisa
iliyopita mwanamke mmoja aliolewa na nyoka kwenye kijiji cha Tala
jimboni Orissa.
Post a Comment