Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 17, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 17, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment