Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS... MANJI AKABIDHIWA RASMI YANGA... ASEMA HASARA ITAKUWA YAKE, YANGA WATAPATA 25% YA FAIDA“Nasikia wanasema ndiye tajiri namba moja Tanzania, ametoa Sh milioni mia kuisaidia klabu kisha anaonekana Mtanzania mwema, Hali ambayo imenishangaza sana kwa kuwa mimi kusaidia Yanga tena kwa gharama ya juu ni jambo la kawaida kabisa."alisema Manji na kushangiliwa na umati wa wanachama wa Yanga SC.

Manji amekabidhiwa rasmi Yanga mchana wa leo kwa muda wa miaka 10, ambapo kila kitu atasimamia yeye ikiwemo ujenzi wa uwanja, kuisimamia nembo kibiashara pamoja na mafanikio ya timu uwanjani!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top