Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William
Lukuvi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati Said Arfi kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk.
Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati , Said Arfi na Mbunge
wa Viti Maalum, Agripina Buyogela, Kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma July
23,2012.Picha naOfisiya Waziri Mkuu
Post a Comment