Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Kikwete atembelea maonyesho ya Sabasaba Dar




JK akitembelea banda la JWTZ
Rais Jakaya Kikwete (katikati), akimuelekeza jambo Ofisa Masoko Mkuu wa mbegu za miti kutoka Mkoa wa Morogoro, John Mtika (kushoto), alipotembelea kitalu cha miti kilichopo kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii, alipotembelea Maonesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya bidhaa zitokanazo na Wanyamapori wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mali asili na utalii katika viwanja vya maonyesho vya Sabasaba jijini Dar es Salaam leo.
Mwisho wa siku, Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma, walicheza mchezo wa bao walipotembelea banda la Shirikisho la Mchezo wa Bao Tanzania (Shimbata), kwenye Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam. Raha ya mechi bao 

(picha na Freddy Maro & Kamanda wa Matukio)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top