: |

Tangu Mwimbaji Star Rihanna alipoingia kwenye muziki 2006 Maisha yake ya kimapenzi yamekua gumzo kwenye media na kwa mashabiki wa muziki wake ambapo mwimbaji huyo amemua kuweka wazi ishu za mapenzi zinazoendelea kwenye maisha yake ya sasa.
Rihanna mwenye umri wa miaka 24 amesema amekua mkali kwenye maisha yake ya mapenzi sasa hivi na ni kama mapenzi hayapo kwake, yani kama akikutana na mtu ambae yuko poa ataenjoy nae lakini dakika atakayogundua kwamba wanakaribia kuingia kwenye mapenzi, au kutakwa..atajiondoa mara moja kwa sababu sasa hivi hapendi kuruhusu watu waingie moyoni mwake kimapenzi tena kwa sababu anaogopa kuumizwa.
Post a Comment