Kundi
la wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini, wakiwa na mabango jana
katika hospitali ya taifa, Muhimbili, Dar es Salaam, kushinikiza madaktari
waache mgomo
Kiongozi
wa wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya Juu, Abubakar Assenga akizungumza na
waandishi wa habari baada ya maandamano yao kufika Muhimbili kushinikiza
madaktari kuacha mgomo.
chanzo: Lukaza Blog
Post a Comment