CHADEMA
kimekuwa kikikosa watu kutokana na kudaiwa kutokuwa na jipya la
kuwaambia wananchi kwenye mikutano yake ya hadhara ya mara kwa mara
yenye lengo la kujaribu kukijenga chama hicho mkoani Morogoro.Pichani,
ni hali ya mahudhurio ya wananchi kwenye mkutano wa Chadema uliofanyika
jana jioni eneo la Kingorwila mkoani humo. (Na Mpigapicha Wetu).
chanzo: CCMBlog
Post a Comment