Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Hali NI Tete uwanja wa Kilombero ma tyre yachomwa moto, Polisi watoa onyo wananchi watawanyike kwa amani

 Hivi Ndivyo wananchi wanavyo Choma mataili muda huu eneo la uwanja wa Kilombero ambao uliuzwa kinyemela na sasa wananchi wamerudisha na kulifanya soko.
 Hapa Wakati wanachoma Mbao pamoja na Mataili wananchi wengine wanabomoa bomoa uzio
Muda mchache sasa Fire wamesha fika kwa ajili ya kuzima moto, wakati huo vurugu ndio zinanukia kuanza huku. Wananchi wa Arusha warejesha Kiwanja chao cha wazi kilicho kuwa kimeuzwa na kuweka soko
 Umati wa watu wakiwa wanaandamana kuvunja uzio na kuweka soko  mikononi mwao
 Mji umevurugika. Kiukweli hali si shwari kabisa

Polisi wakiwa eneo la tukio wakilinda amani na usalama wa raia huku wakiwasihii sana Wananchi kutawanyika eneo la tukio.
  Eneo la tukio limezungukwa na matatu na yote yamejaa FFU kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top