Palmeiras imeachana na kocha wa zamani wa Chelsea, Mreno na Mbrazil, Luiz Felipe Scolari na imechukua uamuzi huo kufuatia kipigo cha juzi cha mabao 3-1 kutoka kwa Vasco da Gama, hiyo ikiwa mechi ya tisa klabu hiyo inafungwa katika mechi zao 13 zilizopita za ligi, hivyo kuwafanya washike nafasi ya pili kutoka mkiani kwa pointi zao 20 walizovuna kwenye mechi 24.
Luiz Felipe Scolari
Pamoja na Scolari, msaidizi wake pia kocha Flavio Murtosa naye ametimuliwa.
Babu
huyo wa umri wa miaka 63, Scolari, ambaye alitwaa Kombe la Dunia mwaka
2002 akiwa na Brazil, alirejea kwa mara ya pili Palmeiras mwaka 2010.
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2203021/Former-Chelsea-boss-Luiz-Felipe-Scolari-axed-Brazilian-Palmeiras.html#ixzz26PuT4fN5
Post a Comment