VIMWANA 15 wa Redd’s Miss Temeke, juzi wameanza rasmi kambi yao katika Club ya TCC Chang’ombe tayari wa kinyang’anyiro cha kanda hiyo, kumrithi mrembo Husna Twalib anayeshikilia taji hilo.
Washiriki wa Redds Miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kuwasili katika kambi yao ya mazoezikujiandaa na shindano lao litakalo fanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya naura Spring jijini Arusha. Jumla ya waremo 11 wanataraji kucuana vikali kuwania taji hilo. (picha na Father Kidevu Blog).
Post a Comment