Mshindi wa kwanza wa shindano la Bibi Bomba, Veronica Matia (kushoto),
akishukuru kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 5, kutoka
kwa Meneja Mawasiliano wa Benki ya NMB, Josephine Kulwa, katika hafla ya
kukabidhi zawadi kwa washindi watatu, Dar es Salaam leo. Shindano hilo
lililoendeshwa na Televisheni ya Clouds kwa udhamini wa benki hiyo,
lilifanyika kwa muda wa mwezi mmoja. Mshindi wa Pili Anna Indina
alizawadiwa sh. mil 3 na Nasra Abdalah aliyetwaa nafasi ya tatu alipata
sh. mil.1. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mshindi wa pili Anna Indina akizawadiwa sh. mil 3
Mshindi wa tatu, Nasra Mohammed Abdallah kutoka Zanzibar, akipatiwa sh. mil moja
Viongozi wa NMB na Clouds TV wakiwa na washindi
Mshindi wa pili Anna Indina akizawadiwa sh. mil 3
Mshindi wa tatu, Nasra Mohammed Abdallah kutoka Zanzibar, akipatiwa sh. mil moja
Viongozi wa NMB na Clouds TV wakiwa na washindi
Post a Comment