Baadhi
ya wadau wakiwa na wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania
(TAWLA) wakiwa mkutano leo jijini Dar es salaam ulikuwa unajadili
matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake .
Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika
katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA.
on Wednesday, September 26, 2012
Post a Comment