|
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na katibu wa NEC Oganizesheni Bi Asha
Abdalla Juma, alipokuwa akijieleza katika Uchaguzi wa UWT Mkoa wa Mjini
,uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Amani
juzi,katika uchaguzi huo Bi Asha aliibuka kuwa mshindi wa pili
utamuwezesha kushiriki katika Baraza Kuu Taifa la UWT. |
|
Picha
ya pamoja ya wanachama wa CCM waliowania nafasi ya Baraza Kuu la UWT
kabla ya kujieleza kila mmoja katika uchaguzi uliofanyika katika ukumbi
wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Amani juzi, {Picha zote kwa
hisani ya Mwarabu Mmadi} |
on Thursday, October 11, 2012
Post a Comment