Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BAADA YA AUNT EZEKIEL, AGGY WA MASOGANGE, SASA NI ZAMU YA SHILOLE KUONYESHA NYETI ZAKE


KATIKA kile kilichoonekana kama wasanii wa Bongo Movies wana ‘aleji’ na kujisitiri miili yao, baada ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, safari hii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanika sehemu zake za siri kweupe.
 
 
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa ameanika sehemu zake za siri.
Shilole ambaye kwa sasa amegeukia muziki wa mduara, akiwa jukwaani huku akionekana hana habari kabisa na kitu kinachoitwa staha achilia mbali heshima.
Chanzo chetu cha habari kwa sharti la kutotajwa jina lake, kilinyetisha kwamba, Shilole amekuwa na kawaida ya kujiachia kihasarahasara hasa anapokuwa kwenye shoo na bendi yake.
Shilole akiwa ameacha sehemu zake nyeti.




Aunt Ezekiel (picha ya chini) akionyesha nyeti zake ndani ya jukwaa la Fiesta

 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top