Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni akimpongeza, Khamis Sadifa Juma
baada ya kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM, leo
mjini Dodoma, kufuatia uchaguzi uliofanyika jana
Mjumbe wa Kamati Kuu, Rais
wa Zanzibar, Dk. Shein akiwa na Mwenyekiti mpya wa UVCCM, Khamis Sadifa Juma na
Makamu Mkt UVCCM, Mboni Mhita baada ya viongozi hao wapya wa Umoja huo
kutangazwa kuwa washindi leo katika uchaguzi mkuu wa UVCCM uliofanyika jana
mjini Dodoma.
Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti
UVCCM Beno Malisa akimpongeza Khamis Sadifa Juma, baada ya kutangazwa Mshindi wa
kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini
Dodoma.
Kamanda wa Chipukizi
Kingunge Ngombale-Mwiru akijadili jambo na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama
wakati wa kutangazwa matokeo.
Katibu Mkuu wa UVCCM
Martine shigela akimkaribisha meza kuu Khamis Sadifa Juma bada ya kutangazwa
mshindi.


Post a Comment