Huu ni mtaa wa Kongo.
Maeneo ya Samora Avenue, Posta |
Huu ni mtaa wa Msimbazi unavyoonekana ambapo maduka yote yalifungwa
***********************
Palipo na uvunjifu wa amani upelekea shughuli nyingi za kiuchumi za kujiingizia kipato binafsi na Taifa kuimarika kiuchumi husimama kama ambavyo maeneo mengi ya sehemu za kibiashara ya Kariakoo na Posta kulionekana maduka yote yakiwa yamefungwa kutokana na vurugu za kidini zinazochochewa kwa kasi hapa nchini. Kwa mwendo na mtindo huu, tutaacha kuendelea kuwa maskini zaidi?
Post a Comment