Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba akiunguruma kwenye vikao vya Umoja Wa Wanawake Tanzania (UWT)
*****************************
Sababu zitakazopelekea kwa Sophia Simba kuibuka tena kinara ni kutokana na uongozi wake kuhakikisha hauleti mipasuko ndani jumuiya yake. Halikadhalika katika uongozi wake wa miaka minne amefanya mengi na kwamba anajivunia maendeleo ya kuwavuta wanachama wengi kuingia bungeni, kufanikisha kupata wanawake wengi makatibu wa CCM mkoa na kujenga jengo la UWT mkoa.
Kiukweli Sophia Simba bado anahitajika mno katika mapambano ya kuendelea kuijenga Jumuiya ya umoja wa wanawake wa Tanzania (UWT) na nje ya hapo kuna hatari ya jumuiya kwenda mrama. Kila la kheri akina Mama wa UWT na mfanye uchaguzi mwema na muhakikishe Sophia Simba anaendelea kuwa Mwenyekiti wenu ili azidi kuwatumikia zidi

Post a Comment