Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa jengo la ubalozi
wa Tanzania nchini Oman katika mtaa wa balozi jijini Muscat Oman jana.Kushoto
ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, (watatu
kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh na (kulia) ni Afisa
Mwandamizi Ubalozi wa Tanzania nchini Oman, Bwana Abdallah
Kilima.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akizindua ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Oman
jana.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernard
Membe,watatu kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bw. Ali Ahmed Saleh,
(wanne kulia aliyeshika karai) ni Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini
Oman, Bw. Abdallah Kilima na (kulia anayeshuhudia) ni Afisa katika Ubalozi huo,
Bw. Saidi Mussa.Picha na Freddy Maro-IKULU
Post a Comment