Mshindi wa
kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 Sista Martha Mwasu kutoka
mkoani Dodoma (kushoto) akiwa na zawadi baada ya kuibuka mshindi wa shindano la
Mama Shujaa wa Chakula, 2012. Katikati ni mshindi wapili kutoka mkoani Kagera
Bi. Emiliana Eligaesha, kulia ni Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia
Mh. January Makamba.
Washindi watatu
bora kwenye shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 kwenye picha ya pamoja na
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba wakati wa
hafla ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula
2012.
Mwakilishi Mkazi
wa Shirika la Kimataifa Oxfam Bi. Monica Gorman akimpongeza mshindiwa kwanza wa
shindano la Mama Shujaa wa Chakula Sista Martha Mwasu kutoka mkoani Dodoma
wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya Mama Shujaa wa
Chakula 2012.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Imani Kajula
akiwapongeza washiriki wa Mama Shujaa wa Chakula 2012 wakati wa hafla ya kutoa
zawadi kwa washindi mashindano la Mama Shujaa wa Chakula
2012.
Washiriki wa
shindano la Mama wa Shujaa wa Chakula 2012 wakiwa zawadi walizokabidhiwa na
Benki ya NMB baada ya shindano hilo
Post a Comment