Naibu waziri wa
Mambo ya Ndani ya nchi,Mh PEREIRA
SILIMA, akiweka shada la Maua
kwa aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa
Mwanza,Liberatus Lyimo Barlow mara baada ya kuzikwa jioni ya jana kijijini kwao
Kilema Kyou,Wilaya ya Moshi vijini Mkoani Kilimanjaro,mara baada ya mazishi hayo
kufanyika.Aidha mazishi hayo yamehudhuriwa na mamia ya wakazi wa mji huo, viongozi
mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa
vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini pamoja na
wale wa vyama vya Kisiasa hapa nchini.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Saidi Mwema akiweka shada la Maua kwa aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza,Liberatus Lyimo Barlow mara baada ya kuzikwa jioni ya jana kijijini kwao Kilema Kyou,Wilaya ya Moshi vijini Mkoani Kilimanjaro,mara baada ya mazishi kufanyika.Aidha mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini pamoja na wale wa vyama vya Kisiasa hapa nchini.
Mke wa marehemu nae akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mumewe
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Saidi Mwema akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa jiji la Mwanza,Mhe.Eng. Evarist Ndikilo
Sanduku lenye mwili wa marehemu likiingizwa kwenye nyumba yake ya milele.
sehemu ya umati wa watu wakiwemo maofisa mbalimbali wa jeshi la polisi.
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mh PEREIRA SILIMA akitoa heshima zake za mwisho mapema leo kwenye mazishi ya aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza,Liberatus Lyimo Barlow kijijini kwao alikozaliwa Kilema Kyou,Wilaya ya Moshi vijini Mkoani Kilimanjaro

Post a Comment