Pichani
ni Mh. Balozi Dr Diodorus Kamala na Mama Balozi Adelaida Kamala katika
sherehe za kuwakaribisha zilizo andaliwa na Jumuiya ya Watanzania nchini
Ubeligiji mara baada ya kutambulishwa
Watoto wa Mh. Balozi Dr. Kamala wakitambulishwa
Baadhi ya watanzania walio hudhuria sherehe hiyo
Kutoka
kushoto ni Bi Doreen Shagalai (katibu wa kikundi cha kina mama cha
Upendo), Mama Balozi Adelaida Kamala, Mh Balozi Dr. Kamala na Mwenyekiti
wa jumuyia ya watanzania Ubeligiji Bwana David Mwasha
Mh. Balozi Dr Diodurus Kamala akiongea machache mara baada ya kukaribishwa ba kutambulishwa
Bi
Doreen Shagalai, katibu wa kikundi cha kina mama cha Upendo akiongea
machache kwa niaba ya wakina mama na kumkaribisha Mama Balozi Adelaida
Kamala na kumuomba awe mlezi wa kikundi hicho cha Upendo ambapo
alikubaliana na ombi lao.
Mama Balozi akikaribishwa kwa kukabidiwa maua kama ishara ya upendo
Mama Balozi Adelaida Kamala akiwashukuru watanzania kwa ukarimu wao
Mama Balozi Adelaida Kamala katika picha ya pamoja na mdau
Mama Balozi Adelaida Kamala akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wapo wa wakina mama wa kikundi cha Upendo
Watoto wa Mh. Balozi Kamala wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wenzao
Baadhi ya wakina mama walio hudhuria sherehe hiyo
Baadhi ya wakina mama wa kikundi cha upendo wakiwa katika picha ya pamoja na mama Balozi
Mh. Balozi Dr Kamala na famila yake wakiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Ubeigiji pamoja na familia zao.
---
Jumuiaya
ya watanzania waishio Belgium wakishirikiana na kikundi cha kina mama
wa kitanzania cha Upendo waliandaa sherehe fupi ya kumkaribisha Balozi
mpya hapa Ubeligiji Mh. Dr. Diodorus Kamala pamoja na familia yake. Shughuli hii ilifanyika Jumamosi tarehe 6/10/2012.
Wakati
wa sherehe hii kikundi cha Upendo kili muomba Mke wa Balozi, Bi.
Adeleida Kamala kuwa mama mlezi wa kikundi hicho na alikubali ombi
hilo.
Kwa kawaida ya jumuiya hii ya watanzania waishio hapa Ubeligiji, Balozi ndiye Mlezi wa Jumuiaya.
Image credit: Lilian Nabora
Image credit: Lilian Nabora
Post a Comment