MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA
MOROGORO, INNOCENT KALOGERIS AMBAYE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO
KUSINI AKIPONGEZWA NA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHAMA HICHO KATIKA
UKUMBI WA MAGADU MESS BAADA YA KUIBUKA MSHINDI KATIKA UCHAGUZI WA NAFASI
HIYO YA MWENYEKITI KWA KUPATA KURA 779 AKIWASHINDA MWENYEKITI
ALIYEMALIZA MUDA WAKE MHANDISHI PETROL KINGO ALIYEPATA KURA 291 NA BI
HENAYA DIMOSO KURA 86 JANA USIKU.
MWENYEKITI MPYA WA CCM MOROGORO
INNOCENT KALOGERIS AKITAFARI JAMBO MARA BAADA YA KUSHINDA NAFASI HIYO
KWA KUWASHINDA WAPINZANI WAKE WAWILI KATIKA KICHANG'ANYIRO CHA NAFASI HIYO.
RAHA YA USHINDI NDIYO HUU, MWENYEKITI HUYU AKIFURAHIA USHINDI NA WAJUMBE WA MKUTANO KUU WA CHAMA HICHO BAADA YA KUSHINDA.
MWENYEKITI
MPYA WA CCM MOROGORO INNOCENT KALOGERIS AKITOA SHUKURANI KWA WAJUMBE WA
MKUTANO MKUU HUO, KUSHOTO NI MSIMAMIZI MKUU WA UCHAGUZI HUO MAMA YETU
ZAKIA MEGHJI NA KULIA NI KATIBU WA CCM MKOA MOROGORO SIXTUS MAPUNDA.
MSIMAMIZI MKUU WA MKUTANO MKUU WA CCM
MKOA WA MOROGORO ZAKIA MEGHJI AKISOMA MATOKEO YA UCHAGUZI WA NAFASI
MBALIMBALI KATIKA UCHAGUZI HUO.
MWENYEKITI ALIYEMALIZA MUDA WAKE
MHANDISI PETROL KINGO AKISIKILIZA MOJA YA MASWALI MARA BAADA YA KUOMBA
KURA KATIKA NAFASI HIYO AKIOMBA WAJUMBE WAMREJESHE KWENYE NAFASI HIYO.
MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MOROGORO BI HENAYA DIMOSO AKIOMBA KURA KWA WAJUMBE KATIKA MKUTANO HUO.
MWENYEKITI WA KAMATI YA USALAMA MKOA WA
MOROGORO AMBAYE NI MKUU WA MKOA HUO, JOEL BENDERA AKIZUNGUMZA JAMBO
KABLA YA KUANZA KWA UPIGAJI WA KURA WA KUCHAGUA VIONGOZI MBALIMBALI, WA
PILI NI KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGO SIXTUS MAPUNDA, MHANDISI PETROL
KINGO NA MSIMAMIZI MKUU WA UCHAGUZI HUO, ZAKIA MEGHJI.
MKUU WA MKOA WA MOROGORO MSTAAFU,
STEVEN MASHISHNGA (KATIKATI) AKIWA NA MKUU WA WILAYA YA MOROGORO SAIDI
AMANZI KULIA NA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO ABDULLAZIZ ABOOD KUSHOTO
WAKIFUATILIA MATUKIO KATIKA MKUTANO HUO.
SEHEMU YA UMATI WA WAJUMBE WA MKUTANO
HUO KUTOKA WILAYA SITA ZINAZOUNDA MKOA WA MOROGORO, KILOSA, KILOMBERO,
MOROGORO, GAIRO, ULANGA, MVOMERO NA MOROGORO VIJIJINI WAKIFUATILIA KWA
KARIBU MATUKIO MBALIMBALI YALIYOKUWA YAKIJITOKEZA.

Post a Comment