Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NAPE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Amezungumzia mambo kadhaa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi mkuu wa CCM na kulaani matukio ya vurugu yaliyotokea Mbagala, Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top