Nayo Ruvu Shooting
itaikaribisha Coastal Union ya Tanga katika mechi itakayochezeshwa na
Oden Mbaga wa Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Mabatini ulioko Mlandizi
mkoani Pwani. Mbaga atasaidiwa na Samuel Mpenzu, Ferdinand Chacha na
Andrew Shamba.
Jumapili (Oktoba 7
mwaka huu) kutakuwa na mechi kati ya Simba na Oljoro JKT itakayochezwa
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Kagera Sugar na Yanga (Uwanja wa Kaitaba
mjini Bukoba), Mgambo Shooting na Polisi Morogoro (Uwanja wa Mkwakwani
jijini Tanga), Toto Africans na JKT Ruvu (Uwanja wa Kirumba jijini
Mwanza) na Tanzania Prisons na Mtibwa Sugar (Uwanja wa Kumbukumbu ya
Sokoine jijini Mbeya).


Post a Comment