Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKINDA AIHAKIKISHIA INDIA MAHUSIANO MEMA NA TANZANIA

Spika wa Bunge la India Mhe. Meira Kumar akimkaribisha mgeni wake, Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Anne Makinda kwenye chumba maalum kwa ajili ya mazunguzo kuhusu ushirikiano wan chi mbili hizi .
Mhe. Makinda akisaini kitabu cha wageni mshuhuri huku akiongozwa na mwenyeji wake, Mhe. Kumar
Mhe. Makinda akisaini kitabu cha wageni mshuhuri huku akiongozwa na mwenyeji wake, Mhe. Kumar
Pokea zawadi kutoka Tanzania… ndivyo Spika Mkakinda anavyomwambia mwneji wake.
Baada ya mkutano wa Saba wa Maspika wa Bunge wanawake kumalizika, viongozi hao kwa pamoja walikutana na waandishi wa habari na kuwaeleza yaliyojiri.
Kwaheri na karibu Tanzania
Ujumbe wa Tanzania na ule wa india kwa pamoja Picha na Prosper Minja wa Bunge kwa picha zaidi tembelea: www.prince-minja.blogspot.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top