Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni mara
baada ya kupokelewa katika Bunge la Seneti la Canada. Kulia ni Spika wa
Bunge hilo Mhe Noel Kinsella, anayefuatiwa na Waziri Mkuu wa Canada Mhe
Stephen Harper na Spika wa Bunge la wawakilishi la Canada (House of
Commons), Mhe Andrew Scheer pamoja na viongozi wengine wa bunge hilo
Alhamisi Oktoba 4, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa Waziri Mkuu wa Canada Mhe
Stephen Harper katika jengo la Bunge la Seneti la nchi hiyo, Alhamisi
Oktoba 4, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Spika wa Bunge la Seneti la Canada
ramani ya dunia na njia za meli, pamoja na kuoneshwa chemba ya mikutano
ya Maseneta wa Bunge la Canada Alhamisi Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Canada Mhe Stephen
Harper wakitembea kuelekea kwenye chumba cha mkutano kuongea na
wanahabari. Zuria jekundu na bendera za Canada za kiongozi wa nchi
husika huwekwa sehemu hiyo kwa heshima na wakati wa ziara ya kiongozi wa
nchi ya nje aliye katika ziara rasmi nchini humo
Picha na IKULU
Picha na IKULU






Post a Comment