Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia
wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)
uliofanyika leo Oktoba 20, 2012 katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma,
sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili
kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma leo Oktoba 20, 2012 kwa ajili ya
kufungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika
sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteta
jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, (UWT) Taifa, anayemaliza muda
wake, Sophia Simba, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya
Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa
Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Makamu wa
rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Mwenyekiti
wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, anayemaliza muda wake, Sophia Simba
(katikati) na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa wakifurahia jambo
wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)
uliofanyika leo Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT
Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais.
Baadhi ya wajumbe wa
Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma. Picha na OMR1:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Abdul Kinana, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma leo Oktoba 20, 2012 kwa ajili ya kufungua mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
7 na 8:-
Baadhi ya wake wa Viongozi, wakiwa ukumbini humo wakati wa ufunguzi huo wa
mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo
Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais
Post a Comment