Mchezaji wa timu ya Yanga ya jijini Dar es salaam
akimiliki mpira mbele ya beki wa timu ya Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa
ligi kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii jijini Dar es
salaam, mpira umekwisha timu ya Yanga imeifunga Ruvu Shooting magoli 3-2, Goli la tatu la timu ya Yanga limepatikana katika kipindi
cha pili cha mchezo huo baada ya kutoka uwanjani kwa mapumziko zikitoshana
nguvu kwa kufungana magoli mawili kwa mawili katika kipindi cha kwanza
Mchezaji wa Yanga Jerrison Tegete akishangilia mara
baada ya kufunga goli la pili katika mchezo huo na kufanya kipindi cha kwanza
kumalizika timu zikitoshana nguvu kwa magoli, mpaka kipindi cha pili ambapo
Yanga iliongeza goli la tatu na kufanya matokeo hayo kuwa
3-2
Post a Comment