Loading...
Home » Unlabelled » SHY ROSE BHANJI ALETA TAFRANI KATIKA MKUTANO WA NANE WA UWT TAIFA NA KUISHIA KUZOMEWA NA WAJUMBE WALIOKUWEPO
SHY ROSE BHANJI ALETA TAFRANI KATIKA MKUTANO WA NANE WA UWT TAIFA NA KUISHIA KUZOMEWA NA WAJUMBE WALIOKUWEPO
Mbunge wa Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji akitulizwa na Wajumbe wa Mkutano mkuu wa wanawake uliofanyika leo katika ukumbi wa Mipango uliopo mjini Dodoma ambapo Shy Rose Bhanji alileta tafrani kubwa na kupandisha jazba baada kupewa jibu mwanana kwa swali la kitoto alilomuuliza Mama Sophia Simba
Post a Comment