Meneja
Mradi wa shirika lisilo la kiserikali kutoka Ujerumani ( EIFL) Monica ELBERT,
akiwaangalia baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi
Chang’ombe Mazoezi wilaya ya Temeke
jijini Dar- es- Salaam, wakati wakifanya mafunzo
ya pamoja jinsi ya
kutumia teknolojia ya upashanaji wa habari
na mawasiilano kupitia mtandao.
Mradi huo wa
mafunzo ujulikanao (Public Library Innovation
Programme- PIP- ) Kwa kupitia mradi huo wanafunzi
wataweza kupata taarifa mbalimbali
kirahisi kwaajili ya masomo yao na taarifa mbalimbali za
kila siku, Meneja wa mradi huo amefurafahishwa sana
baada ya kuhojiana na wanafunzi hao na kumueleza kwamba ni ukombozi kwao
kwani baada ya kumaliza mafunzo, elimu itakuwa
imewasaidia sana kuwarahisishia masuala mbalimbali ya masomo pamoja kupata
taarifa mbalimbali
Baaadhi ya
wanafunzi wakifanya mazoezi.
Baaadhi ya wanafunzi
wakifanya mazoezi. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Post a Comment